Moja ya barabara iliyopo maeneo ya Mikocheni jijini Dar es salaam inayopitika kwa shida kama inavyoonekana kutokana na mvua.