Saturday, 22 February 2014

Angalia alichokizungumza mwanafunzi huyu wa kidato cha nne baada ya matokeo kutoka. Fuatilia hapa kufahamu zaidi na vitendo.

Napenda kutoa shukurani zangu kwa wote, haswa wahitimu wenzangu ambao  walikuwa wanategemea kupata matokeo ya kidato cha nne.

1/ Kwa wale waliofaulu waendelee kumuomba mungu kwani yeye ndiye aliyechangia ufaulu wako, endelea kuomba hili uweze kufanikiwa zaidi.

2/ Kwa ndugu zangu ambao hawajafanya vizuri wasikate tamaa kwani huwezi jua mungu kakupangia nini katika maisha yako hivyo endelea kumuomba sana mungu wako ili aweze kukuonesha njia.

TAFADHALI NAOMBA

1/ Usithubutu kuchukua uamuzi mbaya dhidi ya matokeo uliyoyapata ila endelea kuomba mungu akuongoze kwenye njia sahihi.

KAMA UMEIPENDA WEWE MUHITIMU MWENZANGU BASI COMMENT KWA KUSEMA MUNGU NIONGEZEE.

Kutoka kwa Kaisi Alan, shule ya sekondari Nkowe.