Jennifer Lopez ameonyesha kuwa bado analipa kwenye show yake aliyoifanya usiku wa Jumanne huko Atlanta.
Kutokana na muonekano wake wa kwenye show hiyo wanaharakati wa haki za binadamu wamemtaka abadilishe mfumo wa mavazi yake hayo anapokuwa jukwaani kwa mujibu wa sheria za jimbo hilo.
Ni muda mrefu Jennifer Lopez (46) amekuwa nje ya jukwaa lakini hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya ‘Ain’t Your Mama’.