Manispaa ya Temeke mkoa wa Dar
es Salaam ilikuwa na mpango wa
kuondoa mabango kama haya,
yanayoonesha kutoa huduma
mbalimbali au kuwaomba wahusika wayaondoe, lakini mpaka jana katika eneo la Tandika Azimio kulikuwa na bango hili katika nguzo ya umeme.