Kieran Moloney Kwa Sasa Ni Mvulana Ambae Hapo Awali Alikuwa Msichana Aliejulikana Kwa Jina La Ciara ,Alipofika Umri Wa Kuanza Shule Ya Msingi Basi Ndipo Alipotamani Kuwa Mwanaume Na Hata Mama Yake Alipokuwa Akimvalisha Magauni Ilikuwa Inamkera Na Kudondosha Machozi.
Alitamani Kuwa Mwanaume Ili Aweze Kunyoa Ndevu Na Kuwa Na Mwili Wa Kiume,Alipofika Umri Wa Miaka 14 Kieran Alipoteza Usichana Wake Kitu Ambacho Kilimfanya Azidi Kujisikia Vibaya.
Alipofika Miaka 16 Aliamua Kwenda Kuonana Na Mshauri Kwa Lengo La Kutaka Kubadili Jinsia Familia Yake Ilimuunga Mkono Akiwemo Mama Yake Wakishirikiana Na Manesi.
Hatimae Akafanikiwa Kutoka Kwenye Usichana Kwenda Kwenye Uvulana ,Na Baada Ya Hapo Akaanza Mazoezi Ya Kubeba Vyuma Na Kutanua Misuli Na Hatimae Akapata Mchumba .
Mchumba Wake Alipata Mshtuko Baada Ya Kugundua Mwenza Wake Awali Alizaliwa Mwanamke Lakini Pamoja Na Yote Kieran Anatarajia Kuoa na Kuanzisha Familia Yake Na Anaifurahia Jainsia Yake Ya Kiume Na Muonekano Aliokuwa Nao Sasa
Via Dailymail & ummylicious blog