Baada ya kufanyiwa uchunguzi wa x-ray aligundulika kuwa tumboni mwake kulikuwa na peni yenye inchi 4 ambayo hakumbuki peni hiyo iliingia vipi na lini.
Peni hiyo iliyokutwa tumboni mwa mwanamke huyo wa Taiwan ilikuwa ni chanzo cha maumivu ya tumbo aliyokuwa akiyapata kwa muda mrefu sana.
Cha ajabu ni kwamba, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 hakumbuki lini peni hiyo iliyokutwa tumboni mwake iliingia lini.
Via Metro