Wanawake wa kibongo huwa wanapoteza muda wao mwingi sana katika urembo na hivyo wanasahau kujifunza yahusio mapenzi. Kila wakati utawasikia wakisema wanaenda kutengeneza nywele na kufanya, shopping. Lengo lao ni kupendeza kwa maana wanaamini kuwa wanaume wengi hupenda wanawake warembo. Mwisho wa siku wanaaibika.
Wanawake wa Kibongo pia wamekuwa wakimtegemea sana mwanaume kufanya kila kitu hivyo nafasi yao na mchango wao kutokuonekana kabisa kitandani. Wanawake wengi hushindwa wafanye nini kumwamsha mwanaume. Kwa wanamwake wa Kitanga hili ni tofauti kidogo kwani hutumia mbinu zote ili mradi jamaa aamke.
Vyakula wanavyokula wanawake wengi wa Kibongo vinawafanya wazembe wazembe na hivyo kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kitandani. Mara nyingi wanawake hawa hupenda kula vyakula kama CHIPS YAI na KUKU WA KISASA wakidhani ndivyo vyakula vizuri huku wakikataa ugali wa dona na vyakula vingine vya asili. Ninakumbuka hata Masanja Mkandamizaji aliwahi kuwachana kwenye wimbo wake "UNAKATAA UGALI".
Wanawake wa Kibongo wamekuwa wakiyafanya mapenzi ya kwenye tamthilia kuwa sehemu ya mapenzi yao, kitu ambacho hakiwezekani kabisa kwa wanaume wa Kibongo. wengi wao hupenda kuwaita wanaume majina ya kwenye tamthilia kama SWEET, HONEY, BABY, LOVE, CARPET, SWEETHEART, KING, UMBRELLA nk,wakidhani kuwa hayo ndiyo mapenzi. Wanaume wa Kibongo wanapenda wanawake wanaonyeshs ushirikiano wakati wa tendo na siyo maneno matupu.
Pia, wanawake wa kibongo wamekuwa hawafanyi mazoezi ya viungo vyao kabisa, huwa hata urefu wa mita mbili wanakodisha Bajaji au Bodaboda. Hili ni tatizo sana kwani huwafanya waishiwe pumzi mapema na kuwachafua wanaume kwa majasho yanayowatoka wakati wa kazi.
Na mwisho kabisa, wanawake wa Kibongo pia hujifanya sana MUCH KNOW, yaani wajuaji wa kila kitu na wajanja kuliko mtu yeyote. Kutokana na hili, wanaume wengi wamekuwa wakifikiria kuwa ni wanawake wa ukweli sana na hivyo kutegemea makubwa kutoka kwao. Hata hivyo, wanaume wamekuwa hawajishughulishi kuwafundisha mapenzi kwa sababu wanaamini kuwa wanajua kila kitu, kumbe wapi.
Mwisho wa siku huwa wakishindwa kudhihirisha ujuaji wao, wanaume huchukia sana na hivyo kuwashusha thamani.
Chanzo: tamutamu2015.blogspot.com